<?xml version="1.0" encoding="utf-8"?>
<resources>
    <string name="fingerprint_unlock_set_unlock_password">Nenosiri • Alama ya kidole</string>
    <string name="fingerprint_unlock_set_unlock_pattern">Mchoro • Alama ya kidole</string>
    <string name="fingerprint_unlock_set_unlock_pin">PIN • Alama ya kidole</string>
    <string name="fingerprint_unlock_skip_fingerprint">Endelea bila kutumia kipengele cha Kufungua kwa alama ya kidole</string>
    <string name="fingerprint_unlock_title">Ukitumia kipengele cha Kufungua kwa alama ya kidole, unaweza kufungua simu yako ukitumia alama ya kidole chako. Kwa ajili ya usalama, chaguo hili linahitaji mbinu mbadala ya kufunga skrini.</string>
    <string name="security_settings_fingerprint_bad_calibration">Tembelea mtoa huduma za urekebishaji au nenda katika g.co/pixel/fingerprintunlock.</string>
    <string name="security_settings_fingerprint_enroll_consent_introduction_title">Ruhusu kipengele cha Kufungua kwa alama ya kidole</string>
    <string name="security_settings_fingerprint_enroll_finish_message">Kipengele cha kufungua kwa alama ya kidole hujiboresha kadiri unavyokitumia katika simu yako au kuthibitisha kuwa ni wewe kwenye programu</string>
    <string name="security_settings_fingerprint_enroll_introduction_title">Weka Kufungua kwa Alama ya Kidole</string>
    <string name="security_settings_fingerprint_preference_title">Kufungua kwa Alama ya Kidole</string>
    <string name="security_settings_fingerprint_v2_enroll_introduction_footer_message_2">Kipengele cha Kufungua kwa Alama ya Kidole huunda muundo wa kipekee wa alama ya kidole chako ili kuthibitisha kuwa ni wewe. Ili uunde muundo wa alama ya kidole wakati wa kuweka mipangilio, utanasa picha za alama ya kidole chako kutoka pembe tofauti.</string>
    <string name="security_settings_fingerprint_v2_enroll_introduction_footer_message_3">Unapotumia kipengele cha Kufungua kwa Alama ya Kidole, picha hutumiwa ili kusasisha muundo wako wa alama ya kidole. Muundo na picha za alama ya kidole chako huhifadhiwa kwa njia salama na husalia kwenye simu yako. Mchakato wote hufanyika kwenye simu yako kwa njia salama.</string>
    <string name="security_settings_fingerprint_v2_enroll_introduction_footer_message_4">Unaweza kufuta muundo na picha za alama ya kidole chako, au uzime kipengele cha Kufungua kwa Alama ya Kidole wakati wowote katika Mipangilio. Miundo na picha za alama ya kidole zinahifadhiwa kwenye simu hadi utakapozifuta.</string>
    <string name="security_settings_fingerprint_v2_enroll_introduction_footer_message_consent_2">Kipengele cha Kufungua kwa Alama ya Kidole huunda muundo wa kipekee wa alama ya kidole cha mtoto wako ili kuthibitisha kuwa ni yeye. Ili kuunda muundo huu wa alama ya kidole wakati wa kuweka mipangilio, atapiga picha za alama ya kidole chake kutoka pembe tofauti.</string>
    <string name="security_settings_fingerprint_v2_enroll_introduction_footer_message_consent_3">Anapotumia kipengele cha Kufungua kwa alama ya kidole, picha zinatumiwa ili kusasisha muundo wa alama ya kidole chake. Muundo na picha za alama ya kidole cha mtoto wako zinahifadhiwa kwa njia salama na kusalia kwenye simu. Mchakato wote hufanyika kwenye simu kwa njia salama.</string>
    <string name="security_settings_fingerprint_v2_enroll_introduction_footer_message_consent_4">Wewe na mtoto wako mnaweza kufuta muundo na picha za alama ya kidole chake, au kuzima kipengele cha Kufungua kwa Alama ya Kidole wakati wowote katika Mipangilio. Miundo na picha za alama ya kidole zinahifadhiwa kwenye simu hadi utakapozifuta.</string>
    <string name="security_settings_work_fingerprint_preference_title">Kufungua kwa alama ya kidole kwenye wasifu wa kazini</string>
    <string name="suggested_fingerprint_lock_settings_title">Tumia kipengele cha Kufungua kwa alama ya kidole</string>
    <string name="unlock_disable_frp_warning_content_password_face_fingerprint">"Nenosiri hulinda simu yako ikipotea au ikiibwa.

Hatua hii hufuta picha za alama ya kidole na muundo zilizohifadhiwa kwenye kifaa chako. Muundo wa uso wako pia utafutwa kabisa kwa usalama. Hutaweza kutumia uso wala alama ya kidole chako kuthibitisha katika programu."</string>
    <string name="unlock_disable_frp_warning_content_password_fingerprint">"Nenosiri hulinda simu yako ikipotea au ikiibwa.

Hatua hii pia hufuta picha za alama ya kidole na muundo zilizohifadhiwa kwenye kifaa chako. Hutaweza kutumia alama ya kidole chako kuthibitisha katika programu."</string>
    <string name="unlock_disable_frp_warning_content_pattern_face_fingerprint">"Mchoro hulinda simu yako ikipotea au ikiibwa.

Hatua hii hufuta picha za alama ya kidole na muundo zilizohifadhiwa kwenye kifaa chako. Muundo wa uso wako pia utafutwa kabisa kwa usalama. Hutaweza kutumia uso wala alama ya kidole chako kuthibitisha katika programu."</string>
    <string name="unlock_disable_frp_warning_content_pattern_fingerprint">"Mchoro hulinda simu yako ikipotea au ikiibwa.

Hatua hii pia hufuta picha za alama ya kidole na muundo zilizohifadhiwa kwenye kifaa chako. Hutaweza kutumia alama ya kidole chako kuthibitisha katika programu."</string>
    <string name="unlock_disable_frp_warning_content_pin_face_fingerprint">"PIN hulinda simu yako ikipotea au ikiibwa.

Hatua hii hufuta picha za alama ya kidole na muundo zilizohifadhiwa kwenye kifaa chako. Muundo wa uso wako pia utafutwa kabisa kwa usalama. Hutaweza kutumia uso wala alama ya kidole chako kuthibitisha katika programu."</string>
    <string name="unlock_disable_frp_warning_content_pin_fingerprint">"PIN hulinda simu yako ikipotea au ikiibwa.

Hatua hii pia hufuta picha za alama ya kidole na muundo zilizohifadhiwa kwenye kifaa chako. Hutaweza kutumia alama ya kidole chako kuthibitisha katika programu."</string>
    <string name="unlock_disable_frp_warning_content_unknown_face_fingerprint">"Vipengele vya ulinzi wa kifaa havitafanya kazi bila mbinu yako ya kufunga skrini.

Hatua hii hufuta picha za alama ya kidole na muundo zilizohifadhiwa kwenye kifaa chako. Muundo wa uso wako pia utafutwa kabisa kwa usalama. Hutaweza kutumia uso wala alama ya kidole chako kuthibitisha katika programu."</string>
    <string name="unlock_disable_frp_warning_content_unknown_fingerprint">"Vipengele vya ulinzi wa kifaa havitafanya kazi bila mbinu yako ya kufunga skrini.

Hatua hii pia hufuta picha za alama ya kidole na muundo zilizohifadhiwa kwenye kifaa chako. Hutaweza kutumia alama ya kidole chako kuthibitisha katika programu."</string>
</resources>